Wenzetu huko Ulaya ukigombea mara Moja ukashindwa hutakiwi kugombea Tena. Ni Tanzania pekee ambapo mtu anagombea Kila mwaka. Leo badala ya kutafuta chuma kipya Cha kuitikisa CCM. Bado tuna mawazo mgando ya kutaka Freeman au Lissu wagombee Tena kwa sera zipi mpya?
Watu wamemzoea na hana jipya...