Baadhi ya watu wamekuwa wakiwasaidia ndugu zao kwenye maeneo mbalimbali. Wengi wanaweza kuwasomesha, kuwapa kazi, kuwatibia pindi wanaumwa n,k.
Sasa baada ya kufanya hivyo wanaamini nao siku watarudishiwa fadhila au unaweza sema asante pale anapopata changamoto fulani. Sasa anapokosa msaada...
Habari za jioni kwa member wote wa JF
Hivi Sasa Kuna kitu sijaelewa mpaka Sasa Yani naona watu wamekuwa shallow Sana.
Naona Sasa mtu kukutafuta ni mpaka awe na shida au matatizo la sivyo hakuna shobo hata kidogo.
Kila mtu anajiona star au ana act celebrate flani yaani Kila mtu anajiona...
Kuna baadhi ya ndugu wakikusaidia kitu kidogo wanaweza kuuchorea tatoo huo msaada iwe ni kukusomesha, kukupa hifadhi, n.k. ukija fanikiwa wanakuwa very demanding uwasaidie, hata uwasaidie mara 10 zaidi.
Siku ukija kukataa utasikia yale maneno "Tulimsaidia huyu". hii hupelekea baadhi ya...
Kuna methali ya uongo ya ooh mtegemea cha nduguye hufa maskini
Methali ya mtegemea cha nduguye hufa maskini sio kweli Kwa wachaga,wakinga,Wahindi,wapemba na waarabu ni Kwa makabila mengine tu
Kama wandengereko, Wakwere, Wazaramo, Wamakonde, Wasambaa, Waha, Wafipa, Wapare, Wagogo na Wakojani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.