Natumai mko vizuri kiafya, nina kiduka cha bidhaa mchanganyiko kama dona, mchele, mayai, pipi mixer mafuta nauza rejareja na mungu anajalia angalau riziki kidogo naipata.
Sasa kuna ndugu nashirikiana nao maana mie ni kijana mwepesi leo utanikuta dukan kesho namwachia shemeji wa kiume apige...