Ukiona pesa zimekutembelea fasta waombee ndugu zako wa karibu waishi naisha marefu.
Kwa mfano Chief Goodlove leo hii afiwe na mzazi imekula kwake,au yule msanii wenu wa tandale akafiwana mama yake imekula kwake.
Hili ni tatizo la Afrika nzima hata akina P Square yaliwakuta baada ya mama yai...
Mifano ni matajiri wengi tunaowajua kina Mo, Bakhresa, GSM, ni biashara za familia na ndugu wa karibu, ni team work.
Pia kwa upande wetu watanzania wa asili ukienda kwenye masoko makubwa utawakuta wengi wanaofanikiwa ni biashara za familia na ndugu wa karibu wanapambana pamoja, ukienda ofisi...
Wanajamvi, ninaomba msaada wa dhati kabisa.
Mdogo wangu wa pekee alifariki mwaka jana. Tulizaliwa wawili tu, wazazi pia walishafariki. Baada ya wazazi kufariki, nilikuwa mama yake, alikuwa baba yangu.
Fact kuwa familia hii nimebaki peke yangu, kila nikiwaza inanistrike vibaya mno! Sijui kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.