ndugu wagoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Damaso

    Ndugu wagoma kuchukua mwili wa marehemu

    Kufuatia tukio la mama mjamzito aliyejulikana kwa jina la Bi. Sophia Shabarula, mfugaji jamii ya kimasai, kupoteza maisha wakati akijifungua katika Hospitali ya Wilaya ya Kilosa, ndugu na jamaa wa familia ya marehemu huyo wamegoma kuchukua mwili wa marehemu wakishinikiza kupatiwa sababu za...
  2. Sildenafil Citrate

    Mwili wakaa mochwari zaidi ya siku 35, ndugu wagoma kuuchukua

    Familia ya Bulole wa Miyuji jijini Dodoma wamegoma kuchukua mwili wa ndugu yao, Richard Bulole ambao upo chumba cha kuhifadhi maiti katika hospitali ya rufaa ya Dodoma tangu Agosti 13, 2022. Sababu za kususia mwili huo zimetajwa kuwa wanataka ukweli kuhusu kifo cha ndugu yao ambaye taarifa...
Back
Top Bottom