nduki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jana nimeenda club kwa mara ya kwanza, nimetoka nduki baada ya kuuziwa maji 4000/=

    Kiukweli watu huko duniani Wana pesa aisee, imebidi nijitafakari upya nimekuja kufanya nini duniani kwa sababu kwa mambo niliyoyaona jana usiku nilirudi nyumbani kwa huzuni kubwa Sana, aibu na maumivu. Nilikua zangu road nikasema Wacha niende rock city mall nikashangae maghorofa, nikajikuta...
  2. Video: Nimecheka kama mazuri vile, yaani polisi wamelazimika kuchomoka nduki, Wakenya bana

    Wakenya wakiamua huwa wameamua, tatizo nguvu zote hizi mwisho wa siku zinaishia kuwanufaisha wanasiasa, wanagawana mkate kisha mambo yanaisha, nakumbuka kitambo tulikua tunafanya maandamano yaliyokua yanaleta mazuri kwa taifa, sio haya ya siku hizi ya kuwapa viongozi madaraka......
  3. M

    South Afrika: Wafanyakazi wamemfurusha nduki Rais Ramaphosa asihutubie. Wanadai hajali watu wa chini

    ANC president Cyril Ramaphosa has abandoned Cosatu’s May Day celebrations at the Royal Bafokeng Stadium in the North West. Cosatu’s main May Day celebrations descended into chaos after a scuffle broke out at the Stadium. #WorkersDay2022 Cosatu’s May Day celebrations descended into chaos...
  4. TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Ndugu mteja, Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu? Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi. Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya: - Ni tatizo gani? (T-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…