Nikuhusu barabara ya Ndungu-Lugulu. Barabara hii, tangu iharibiwe na mvua za El Nino mwaka 2023, haijawahi kutengenezwa.
Barabara hii ni muhimu sana kwa wakazi wa kata ya Lugulu na kata ya Mtii, hasa wakati wa mavuno ya tangawizi. Kwa sasa, hakuna gari linaloweza kupita katika barabara hii...