Said Seif Ally (aliyezaliwa Februari 24, 1995) maarufu kwa jina la Nedy Music, ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za Afropop, Zouk na Bongo Flava kutoka Tanzania. Anafahamika kwa wimbo wake "Usiende Mbali". Nedy aliteuliwa kwenye tuzo za Afrima mwaka wa 2018 na alishinda katika kipengele cha...