nehemia mchechu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Serikali: Uwekezaji unaofanyika Kiwanda cha Chai cha Mponde utaongeza thamani kutoka Tsh. 790m hadi Tsh. Bilioni 4.8

    Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu, akizungumza katika hafla ya utiaji saini makubaliano ya kumiliki kiwanda hicho iliyofanyika katika Ofisi ya PSSSF, Msajili wa Hazina iliyofanyika Agosti 9, 2024 Jijini Dodoma. Ofisi ya Msajili wa Hazina kwa kushirikiana na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa...
  2. Mahakama yaamuru Gazeti la The Citizen kumlipa aliyekuwa Bosi wa NHC, Nehemia Mchechu Bilioni 2

    Mahakama Kuu ya Tanzania imeliamuru gazeti The Citizen kumlipa fidia ya shilingi bilioni mbili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Mchechu kwa kuchapisha habari zilizomshushia hadhi. Hukumu hiyo imetolewa leo Mahakama Kuu, Masijala ya Dar es Salaam, ikielezwa kuwa...
  3. Uteuzi: Rais Samia amteua Nehemia Mchechu kuwa Msajili Hazina

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- 1. Amemteua Bw. Nehemia Kyando Mchechu, kuwa Msajili wa Hazina. Kabla ya uteuzi huo Bw. Mchechu alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Bw. Mchechu anachukua nafasi ya Bw...
  4. Nehemia Mchechu bila ya ‘speed governor’ ni tatizo. Ndugu zangu wa mitaa ya ‘Al Muntazir’ Upanga mjipange

    Hivi hii sera ya ubia ya NHC ilipelekwa kabisa kwenye baraza la mawaziri, wakailewa na kusema sawa. Mtu ana mpango wa kwenda kuvunja majengo kadhaa kisa tu yapo prime areas na kuwatoa wapangaji sio tu hana hela ya kuendeleza yeye mwenyewe bali the immorality of it all is beyond me. Kama hela...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…