Habarini wadau.
Leo nimeona nitoe maoni yangu kuhusu watu hawa wanajiita mitume na manabii na masheikh.
Mtu anatumia mafuta, maji, chumvi nk. Wanajiita ni mitume na manabii; je, Biblia inasema hivyo? Ingawa sina rejea ya vifungu moja kwa moja lakin matendo ya Yesu akiwa duniani alifanya...