Wadau nawasalimu,
Suala la kudai eti kuwapa bandari hawa Waarabu wa DP World ili wawekeze sidhani kama tutakwepa kuibiwa.
Ni aibu kwa Serikali yenye vyombo vya kupambana na wizi leo kudai eti bandarini kuna majizi, mapato yanaibiwa.
Serikali inayoshindwa kuwadhibiti hao wezi ni Serikali...