Akielekea New york City, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anasema atatumia hotuba ya United Nations General Assembly (UNGA) kuwashutumu viongozi wa dunia wanaoitambua Palestina
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na mkewe Sara wakipiga picha kabla ya kuondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion...