Hii ni Changamoto Kubwa Jamani na usiombe kulazwa ukayaona.
Lakini ukiachilia uchafu pia neti hizo ni ndogo.
Mfano kwa mama na mtoto wake mchanga neti mmeichomeka inawagusa Gusa na hiki kitu kinakera sana.
Usiku kucha neti imewalalia mbu kuwang’ata kuko pale pale.
Sekta ya Afya iangalie hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.