new amaan complex

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Nashauri Yanga tuhamie Amani, uwanja wa Mkapa tusiutumie tena mechi za CAF

    Nashauri mechi za Caf zote uwanja wetu wa nyumbani uwe uwanja wa Aman Zanzibar! Au mnasemaje ndugu zangu! Yanga hii inafungwaje! MBELE DAIMA NYUMA MWIKO!!!
  2. Vincenzo Jr

    FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

    ⚽️ Singida BS🆚Young Africans SC 📆 30.10.2024 🏟 New Amaan Complex 🕖 8:30 PM Kikosi kinachoanza dhidi ya Singida Black Stars Sc Mpira umeanza Dakika ya 2 Sbs 0- 0 yng Dakika ya 3 Boka amefanyiwa madhambi Dakika 6 Mabadiliko katoka boka kaingia kibabage Dakika ya 15 Yanga wanafanya...
  3. Mkalukungone mwamba

    FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

    Alhamis hii katika NBC Premier League ni Mzizima Derby, Azam FC kukipiga na wekundu wa msimbazi Simba SC Mtanange huu utapigwa katika dimba la New Amaan Complex, Dakika ya 15 Goooal Ateba Azam 0 - 1 Simba
  4. K

    WasiWasi Watanda Juu ya Yanga Kushindwa Kuujaza Uwanja Wa Amani Zanzibar

    Baada ya Timu ya Yanga kukimbilia Uwanja Wa Amani Stadium Zanzibar, wasiwasi mkubwa umetanda kuwa hata Baada ya kufanya uamuzi huo Upo uwezekano mkubwa Uwanja huo Usijae..! Yanga itajitupa uwanjani hapo siku ya tarehe 21/9/2024 kupapatuana na timu ngeni kabisa kutoka Ethiopia, timu ambayo...
  5. Cute Wife

    Coastal Union 2-5 Azam FC | Ngao ya Jamii | Aman Complex | 8/8/2024

    Mkeka wako unampa nani kati ya Azam na Coastal? Timu ya AzamFC imefanikiwa kuingia Fainali ya Ngao ya Jamii kwa kuifunga #CoastalUnion kwa magoli 4-2 katika Nusu Fainali ilivyochezwa Uwanja wa Amaan. Kutokana na ushindi huo, Azam FC itacheza fainali ya Ngao kwa kukipiga na timu itakayoshinda...
  6. Joseverest

    FT: CRDB Bank Federation Cup 23/24 FINAL: Dak. 120 | Azam FC 0-0 Yanga SC | Pnt (5-6): New Amaan Complex 2/6/2024. Yanga abeba ubingwa

    Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye dimba la New Amaan Complex, Zanzibar Je, nini kitatokea katika mtanange huo wa kukata na shoka? Kuwa...
Back
Top Bottom