new force

  1. JanguKamaJangu

    LATRA yawataka Wamiliki mabasi ya Sauli na New Force kujieleza kabla ya kuchukuliwa hatua

    WAMILIKI MABASI YA SAULI NA NEW FORCE WATAKIWA KUJIELEZA KABLA YA KUCHUKULIWA HATUA ZA KIUDHIBITI Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imefanya kikao kilichohusisha Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani na wamiliki wa mabasi ya Sauli na New Force yaliyosababisha ajali ya tarehe...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    Fainali ya Ligi kuu ya mbio za mabasi Tanzania (Sauli vs New Force/ Golden Deer) na lori la mafuta, serikali imejifunza nini?

    Kùjifunza ni kitu kisicho na mwisho wala mipaka. Serikali yetu na watendaji wake hawajàona haja ya muda mrefu kujifunza na kuchukua tahadhari dhidi ya fainali ya Ligi Kùu ya mbio za mabasi Tanzania kati ya New Force/ Golden Deer vs Sauli. Maafa tumeanza kuyaona, leo mabasi yamegongana na Lori...
  3. dubu

    Morogoro: Basi la New Force lapata ajali Iyovi

    Ajali Ya Basi la New Force lililokuwa linatoka Mbeya Kuja Dar ( Hakuna Kulala ) Maeneo ya Kidai B baada ya Kugongana na Lori na Gari Ndogo Abiria wako Salama Kuna Majeruhi Wadogo Tu Iii imetokea leo 23/01/2024 asubuhi Mtoremko wa Iyovi Pia soma: New Force/Golden Deer kwanini ajali mnapata...
  4. ChoiceVariable

    LATRA yafungulia mabasi 38 ya kampuni ya New Force kuanza safari za usiku

    Haya wenye Mbeya Yao haooo wamerejea na ratiba ya saa tisa na kumi na Moja usiku baada ya Kumalizia kifungo Cha LATRA. Ni kama tuu Newforce walikuwa likizo ya services ======= Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imerudisha ratiba na leseni za mabasi 38 ya kampuni ya New Force kuanzia...
  5. M

    Mabasi 38 ya kampuni ya New Force yapigwa stop na LATRA kusafiri usiku, kuanza huduma saa 12 asubuhi

    Kampuni ya usafirishaji abiria ya NEW FORCE yapigwa stop leo kuendelea na safari zake baada ya kupata ajali mfululizo na kuthibitika kuwa wengi wa madereva wao hawajathibitishwa na mamlaka hiyo. ======= Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imefuta ratiba za saa 9.00 alfajiri na saa...
Back
Top Bottom