Habari zenu wakuu, wakubwa shikamoo, wadogo zangu mambo niaje.
Kwa miezi ya hivi karibuni since July, 2024 nimekuwa mfatiliaji mzuri tu wa majukwaa ya JF, ilianza kwa kusearch "Elimu Tanzania" kwenye opera mini na kiswaswadu changu haha, zikaja results za JF asee tokea siku hio imekuwa kama...
Mzukaa wana jamvi ? Yerereeee!!!
Naombeni wana Jf mnipokee leo nimetimiza ndoto yangu ya kujiunga Jf kutokea Umongolian .
Wanawake ninaowakubali humu ni pisi Kali BICHWA KOMWE - ,Kwa Wanamume najikubali mwenyewe .
Sishabikii timu yeyote ila napenda timu ya Yanga jinsi inavyocheza na...
Huu ndo uzi wangu wa kwanza humu, mnikarbishe lkn yote ya yote umri umefika sasa kuwa na ndoa miaka 29 si haba.
Kwaio connection yenu ni muhimu kuhakikisha hili linafanikiwa. Kuanzia kuniungishia pisi humu, na kupush nitakapokwama si mnaelewa kuna michango pia!
Asanteni niko humu.
Habarini jamii forums nipende kujiunga nanyi katika jukwaa hili adhimu kushiriki na kuleta mijadala yenye tija Kwa taifa na jamii Kwa ujumla
Ikiwa na lengo la Kulinda Amani mshikamano na umoja
Jamii forums sio ngeni kwangu though kumetokea mabadiliko makubwa ambayo yamechagiza turudi tena huku...
Hello guys,
Nashukuru kupata nafasi ya kujiunga pamoja nanyi katika jukwaa hili, nimatumaini yangu nitajifunza mengi mazuri kutoka kwenu hasa kwenye Siasa, ushauri, urembo na mengine mengi.
Shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.