Hodi hodi uwanjani,
Wenyeji nifungulieni,
Clamyidia mi mgeni,
Wenyeji nipokeeni.
Ninagonga mlangoni,
Majirani tusiwaamsheni,
Clamyidia nifungulieni,
Wenyeji nipokeeni.
Naskia JF sio gengeni,
Hakuna stori za vijiweni,
Great thinkers wamesheheni,
Clamyidia nipokeeni.
Insta na FB ndio kwetu...