Habarini Wakuu,
Kuna shule mpya imefunguliwa huko Kinyerezi ambayo itaanza operation officially kuanzia January 2022.
Shule itakuwa ni ya Pre and Primary School mbeleni itakuwa na secondary pia.
kabla ya kwenda ofisi husika za TRA vingunguti, Mwenye shule anataka kujua taratibu za TRA Zikoje...