TF is wrong with CNN?
Huyu jamaa, Jeffrey Toobin, alibambwa kwenye zoom call akipiga punyeto.
Ilikuwa ni zoom call ya mwajiri wake wa wakati huo [Oktoba 2020], The New Yorker magazine.
Pia, alikuwa ni CNN’s chief legal analyst.
New Yorker walimfukuza kazi. CNN naona walimsimamisha kazi...