newala

Newala is one of the five districts of the Mtwara Region of Tanzania. It is bordered to the west by the Masasi District, to the east by the Tandahimba District, to the south by the Ruvuma River and Mozambique, and to the north by the Tandahimba and Masasi Districts.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of the Newala District was 183,930. Most of the inhabitants are from the Makonde tribe.
The District Commissioner is Mr. Ali N. Rufunga.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    KERO Umeme wilaya ya Newala Mtwara unakatika sana

    Umeme ni kero kubwa sana wilaya ya Newala kukaa siku mbili, tatu hata wiki ni kitu cha kawaida bila taarifa yeyote. Tanesco tunaomba sana mliangalie Hili watu wanaumia, biashara hazifanyiki na mbaya zaidi ni tatizo la kudumu
  2. A

    KERO Hatujalipwa pesa za Korosho mnada wa 8 nA 9 Newala Kitangali

    Hatujalipwa pesa zetu za korosho wa mnada wa 8,9 Newala kitangari ,tangu mnada umepita ni mwezi sas na hakuna taarfa zozote zinazotolewa kwa katimu wa chama cha msingi Limanga
  3. Godee jr

    KERO Viongozi wa Newala rekebisheni choo cha stand ya mabasi

    Tafadhali sana naomba mrekebishe hicho choo. Ni aibu sana kuwa ja choo kama hicho. Nilijuta kuingia aisee. Ni choo cha shimo na mmeweka sink. Sink limevunjika na choo ni kimejaa so mzigo wote unaonekana. Cha ajabu ni kuwa mnapokea hela na kuruhusu watu kuingia. Nilijuta kuingia mle ndani na...
  4. jlo father

    DOKEZO Wakulima wa korosho wa chama cha msingi Kweli kilichopo kijiji cha Msilili wilaya ya Newala mkoani Mtwara chawafanyia hujuma

    Wakulima wa korosho wa chama cha msingi kweli kilichopo kijiji cha msilili wilaya ya Newala mkoani Mtwara chawafanyia hujuma. Wakulima wa korosho kwani wakulima wamepima mazao yao mwezi wa kumi na moja lakin hadi leo hayajasafirishwa kupelekwa kwenye mnada kwa makusudi kwani wanamaslai yao...
  5. T

    LGE2024 John Pambalu: Wasimamizi wa Uchaguzi jimbo la Newala Vijijini hawapo vituoni kutoa na kupokea fomu za wagombea

    Mwenyekiti wa BAVICHA, John Pambalu amesema amepita kwenye ofisi kadhaa huko Newala na kukuta ofisi zimefungwa. Akitolea mfano Kijiji cha Mnyambe, Kata ya Mnyambe ambapo mpaka saa saba mchana, msimamizi wa uchaguzi alikuwa amefunga ofisi na kukimbia. Ameongeza kuwa mgombea kupitia CHADEMA...
  6. Roving Journalist

    Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga: Vijiji vyote Newala vimefikiwa na umeme

    Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Vijiji vyote 76 vya Jimbo la ya Newala Vijijini Mkoa wa Mtwara vimefikiwa na huduma ya umeme kwa umbali wa Kilometa 1. Kapinga ameyasema hayo leo Oktoba 29, 2024 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mhe. Maimuna Mtanda Mbunge wa Newala...
  7. A

    KERO Kero ya usafiri Newala, Mtwara

    Usafiri wa Mabasi ya Newala, Mtwara ni changamoto sana na ni shida ya mda mrefu sana. Wafanyabiashara wa mabasi wanafanya biashara kwa kubahatisha; service hazifanyiki vzur na kwa wakati hali inayopelekea magari kuharibika sana njiani na hta kuweza kusababisha ajali barabarani. Naomba serikali...
  8. B

    Nimefika Newala salama

    Asante sana mdau K11 hatimae nimefanikiwa kufika Newala salama. Tulitoka Dar leo saa 1 kasoro tumeingia Newala saa kumi na moja na nusu. Mimepata lodge Kali sana kwa sh elfu 5 lodge ambayo kwa mjini daslamu ni 25 mpaka 30 kutegemea na location. Nimetoka kutazama mpira now pale Newala...
  9. B

    Gharama za gesti za bei nafuu Newala na Masasi

    Habari zenu wana Jf, Nina safari ya kwenda Masasi kesho insha'allah then nitaenda Newala kisha Mtwara mjini. Naomba kuulizia anayefahamu gesti za bei nafuu kwa Newala na Masasi bajeti ya sh elfu kumi hadi kumi na 5. Asanteni sana ndugu zanguni
  10. LIKUD

    Mwanaume kabla haujaoa, tembelea kwanza Newala. Mwenzenu Tayari nipo Newala toka juzi usiku wa manane

    Majuzi niliandika Uzi humu nikisema nataka kufanya utalii wa ndani mikoa ya kusini then nikaomba suggestion nianze na Newala au Songea? Mdau mmoja akasema niende Songea sintojuta. Mwingine akaniambia kama nawataka wamakonde haina haja ya kwenda Newala bora niende Masasi kwa sababu Masasi...
  11. Abou Shaymaa

    Basi Kampuni ya Baraka kutoka Newala - Dar lapata ajali na kusababisha vifo 14

    Wakuu mwenye taarifa kamili atujuze maan kuna ndugu yetu tumepewa taarifa kafariki alikuwa humo, Innalillah wainna ilayhi raajiu'uun ===== Watu 14 wamefariki dunia na wengine 26 wakijeruhiwa katika ajali iyohusisha basi la Kampuni ya Baraka Classic, yenye namba za usajili T 336 DPW, inayofanya...
  12. Suley2019

    Waziri Mkuu Majaliwa akerwa na kasi ndogo ya Mkandarasi mradi wa REA Newala

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amehoji kwanini mkandarasi wa Rea, Newala hachukuliwi hatua ikiwemo kusimamishwa licha ya kuwa na kasi ndogo ya utekelezaji wa mradi wa kuunganisha umeme katika baadhi ya vijiji wilayani humo. Kauli hiyo ameitoa wakati wa ziara yake Wilayani Newala ambapo amesema...
  13. GAZETI

    Mtwara: Mapambano ya Polisi na Jambazi mwenye silaha; Raia ameuwawa, askari amepigwa risasi

    Wakuu jioni hii hapa Newala(Mtwara) limetokea tukio la Jambazi mwenye silaha kuvamia kituo cha mafuta Kiduni na kupora fedha. Wakati anaondoka eneo la tukio kaua Raia mmoja, hata hivyo wananchi wenye hasira walimfuatilia jambazi huyu ambaye alishindwa kutoroka baada ya mtu mwenye pikipiki ambaye...
Back
Top Bottom