Jina kamili: Newcastle united
Jina la utani: The Magpies
Kuanzishwa: 1892
Uwanja wa nyumbani: St. James Park (uwezo mashabiki 52,000)
Wamiliki: Public investment fund 80% , RB Sports & Media 10%, PCP Capital Partners 10%
Wakuu hongerani na kazi.
Wengi wetu tunafatilia Sana ligi za Ulaya Moja ya ligi pendwa ni English premier league.
Katiba msimamo wa ligi Newcastle timu iliyokuwa unafanya vema enzi hizo ni kawaida kitobeza timu. Kwa Sasa inasonga vzr Sana kias Cha kuwa tishio Kwa nyingine kama Liverpool...
Kuna Watu wanapenda sana kutufanya Watanzania Wote ni Mabwege Mtozeni kama walivyo.
Tukutane kuanzia Mechi ya Ngao ya Jamii na endeleeni tu Kukariri na kujipa Moyo kuwa Msimu wa 2022 / 2023 utakuwa ni kama wa 2021 / 2022.
Machafuko Mafuriko FC endeleeni Kusajili na sasa tunangojea mumsajili...
Wadau mimi ni mmoja ya watu ambao japo sio wafuatiliaji sana lakini kuna kitu sijaelewa kwa mujibu wa Forbes bilionea Mmarekani mwenye asili ya South Africa, Elon Musk ndiye binaadam mwenye pesa zaidi dunian US dollar billion 230.
Lakini juzi nimesikia mmiliki mpya wa Newcastle United Mohammad...
Newcastle United iliingia katika mfumo wa private company limited by shares mnamo Tar. 6 September 1895, timu hii Ilijiendesha kwa mfumo huu hadi karne 20 ikiwa inatawaliwa kwa umiliki na Mckeag, Westwood na Seymoor family hadi kufikia Mwezi wa 4 1997.
Katika kipindi hicho alitokea tajiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.