Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazoendelea kukua kiuchumi duniani na afrika kwa ujumla.Aidha nchi mbalimbali kama vile Nigeria,Afrika kusini,Ethiopia na Kenya ni nchi zenye uchumi mkubwa kusini mwa jangwa la sahara hii ni kutokana na miundombinu bora waliyonayo.tuchunguze baadhi ya miundombinu...