Nimeona taarifa hii ya kushangaza kwakuwa niliamini kuwa Uturuki yuko upande Urusi lakini leo hii Serikali ya Uturuki imezuia meli iliyosheheni ngano, yasemekena ngano hiyo iliibiwa Ukraine. Meli hiyo imezuiwa kwa ombi la Ukraine.
Najiuliza: Putin hataanza kuirushia makombora Turkey...