1. Simba SC vs Coastal Union:
Predictive score:
Simba SC 3 - 0 Coastal Union
Simba SC is expected to win comfortably with a strong performance.
2. Yanga SC vs Azam FC:
Predictive score:
Yanga SC 2 - 1 Azam FC
Yanga SC is likely to secure a narrow victory in a closely...
1.Timu yetu ina wachezaji wazuri na wenye uwezo wa kutuletea mafanikio msimu huu, jana kwangu naona upangaji wa kikosi haukuwa mzuri, kwa mfano Yanga wameonekana wakomavu kwa sababu wanategemea sana kuchezesha viungo kama Simba ile ya akina Yussuph Macho, Shekhan Rashid.
Yanga kama kawaida yao...
Nimesikitishwa sana na uchezaji wa leo, timu haina muunganiko, haina plan, inakimbia kimbia na kuzurura bila malengo, tumefungwa goli zaidi ya tatu japo yamekataliwa.
Nadhani ni muda muafaka Mo Dewji atuachie timu yetu.Ikibidi na Ong bak aondoke maana amefeli kuandaa kikosi.
Soma Pia: FULL...
Sitikisiki na sipigi ramli.
Iko hivi, teams zote ni nzuri sana, ila ni hivi iwapo Simba ataingia fainali basi atakua bingwa iwapo atakutana na Azam FC ila Yanga akiingia fainali na Azam atapigwa na hata akiingia na Coastal itakua kwa mbinde sanaa. YANGA wako bora sana ila kwao ni ligi si hapa...
Japo Mimi ni mchambuzi tu na sina timu ila naomba kuungana na mchambuzi mwenzangu nguli mtaalam wa soka ndugu Labani og kuwa leo Yanga atashinda kirahisi mbele ya kikosi dhaifu cha makolo.
Yanga kifupi inapangika tu kuanzia golini hadi Namba 7 lakini kuanzia Namba 8 had 11 haipangiki hujui...
Kikosi changu cha Yanga baada ya kuitazama jana kuelekea tarehe 8 Agosti, 2024.
Baada ya mechi ya jana ya Yanga dhidi ya Red Arows kwa jicho langu nitaweka kikosi hapa ambacho kwenye mechi ya dabi .
Diarra
Boka
Yao
Bacca
Job
Aucho
Mudathiri
Aziz Ki
Pacome
Max Mpia
Prince Dube
Mfumo 4-3-1
Taja...
For the upcoming match between Simba SC (Tanzania) and APR (Rwanda) on August 3, 2024, let's consider the current form, previous performances, and other relevant factors to make a predictive score.
Given that Simba SC is one of the top teams in Tanzania and has a strong squad, while APR is also...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.