Iko hivi nyinyi mnaosifu sifu sasa yale afanyayo Samia siku akiwageuka naomba muendelee na kazi yenu.
Haiwezekani Rais hana vision, msimamo na hajui afanye nini.
Yeye kupelekeshwa tu na majadiliano ya mitandaoni.
Aendelee tu ila mwisho wake uko na utakuwa mbaya asipobadili mwendo. Kapoteana...