USHUPAVU WA PAUL MAKONDA UNAMFANYA KUWA KIUNGO MUHIMU KATIKA CHAMA, KOCHA ANAMCHEZESHA POPOTE
Na Comrade Ally Maftah
Mimi ni shabiki mkubwa wa aina za siasa anazofanya Paul Makonda, naweza kusema ndio mwanasiasa kinara kati ya miongo miwili yenye mabadiliko makubwa ya mitindo ya siasa, ukuaji...
Ile bahati ya kukutana na timu dhaifu na kuzifunga magoli mengi basi mkaanza kuota viburi. Sasa ligi ndio imeanza rasmi. Na huko hatua ya makundi hakuna timu kama Zalan. Yaani maji mtaita “mma” endeleeni kuchonga sasa.
Ulishawahi kusikia bahati ya mtende au ngekewa? Au mtu baada ya kuharibu anapewa second chance! Ndio kilichowakuta Denmark mwaka 1992 katika michuano ya Mataifa ya Ulaya.
Michuano ya Uefa Euro mwaka 1992 ilipangwa kufanyika katika majira ya joto huko nchini Sweden. Ilikuwa ni michuano ambayo...
Nimetokea kuupenda na kuuamini zaidi uchawi wa Mzungu kuliko uchawi wa mwafrika/Mwarabu (msingi wa uchawi wa Mwarabu na Mwafrika ni the same). Uzuri wa uchawi wa Mzungu, ukiufuata vizuri basi matokeo yake ni asilimia mia moja.
Sasa leo nataka nikufundishe kuhusu dawa ya ngekewa pamoja na dawa...
Uliwahi kusikia kuhusiana na ngekewa? Basi leo nataka nikufumbue ufahamu vizuri. Ngekewa ni mnyama aishie porini moja ya tabia zake kuu ni kupendwa na wanyama wenzie. Anapokaa ngekewa hukaa na kila aina ya wanyama na ndege na hawamdhuru. Kwa maana hiyo ngekewa ni mnyama ambaye anapendwa na kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.