Wadau hamjamboni nyote?
Ndiyo ana miaka 90 sasa, Ngina Muhoho almaarufu Mama Ngina ni mke wa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Kenya Hayati Jommo Kenyatta & Mama wa Rais wa nne wa nchi hiyo Uhuru Kenyatta
Mama Ngina alizaliwa 24 June 1933 hivyo kwa sasa anao umri wa miaka 90.
Nini Siri ya...