Huo ndio Ushauri wa DC Kwa Vijana wa Tanzania kwamba waache kulalamikia ugumu wa Maisha na kukosa Ajira badala yake wakalime maana huko ndiko Kuna utajiri.
My Take
Huyu Kwa nini asiache u DC aende kulima Ili awe Tajiri?
Bila kuwa Chawa hatoboi mtu
----
Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo, Ngollo...