Ngoma (also called engoma or ng'oma or ingoma) are musical instruments used by certain Bantu populations of Africa. Ngoma is derived from the Kongo word for "drum". Different Bantu-inhabited regions have their own traditions of percussion, with different names for their instruments. In Kikongo, "ngoma" is used by extension to signify specific dances, social occasions and rhythms. In Swahili, the word Ngoma is used to describe the drums themselves as well as music and dance together as a joint cultural practice.
Wakuu,
Hivi ndio kusema kwamba amezidiwa na mapenzi au ndo muziki unaanza kumtupa mkono?
Simba aliachia Komasava Mei 2024 na tangu hapo hakuna project ya maana aliyoitoa.
Ametoa ngoma 4 ambazo ni Raha, Holiday, Moyo na Nitafanyaje zote zimebuma.
Huyu atakuwa na shida gani? Au ndo muziki...
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika kristo
Mimi kama msukuma napingana mambo kaza wa kaza juu ya Ngoma ya oten ya nicheki, cha kwanza Ngoma ni kali sana huo ndo ukweli, sema mtani wangu huyu alizidisha uongo uongo mwingi sana
Jamaa anasifia mitaa ya upanga ni mitaa ya kisure , ukweli ni...
Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU
Ngoma inaitwa SUMU imeimbwa na Farid kubanda FidQ
Ina maneno ambayo yaanza kwa kisukuma lakin nitayatafasiri
Kwakifupi Ngoma hii imesheheni ujumbe mzito sana
Watukuobhutaga magulu wakusege, kwalounguno ya bhulema wako,
Bhene bhalelemeja bhango jako douhu...
Huyu jamaa bwana kiukweli kibongobongo ni so underrated. Anavitu adimu sana kwenye flows zake, sasa hili jiwe kamshirikisha mkongwe G- Nako kwenye chorus na verse 2 kasimama Dizasta vina 'the black maradona'. Ebana eeeh, hebu kula chuma...
Sijui ni Mimi mwenyewe naona au hata nyie watanzania wenzangu.naona hii michezo ya wanawake hasa mabinti wadogo wadogo kucheza Ngoma za Uchi maarufu kama Baikoko mitaani hasa kwa Jiji la daresalam ikizidi kukuwa kwa kasi .
Mkuu wa mkoa yupo , Wakuu wa wilaya wapo na viongozi wote wa serikali...
Jinsi 2Pac Alivyobuni "Ambitionz Az a Ridah" 😯
"Ambitionz Az a Ridah" ni wimbo wa ufunguzi katika albamu ya nne ya studio ya 2Pac, "All Eyez on Me," iliyotolewa mwaka 1996.
Jina la wimbo huu ni mchanganyiko wa maneno unaoonyesha azma ya 2Pac na maisha yake kama "ridah" (mwana mtaa au...
Nitamuelewa tu Kocha Fadlu kama Wawili hawa wakianza pamoja, ila kwa Mimi GENTAMYCINE huyu Mavambo kuwa anaanzia Benchi kiukweli huwa simuelewi Kocha Fadlu japo namheshimu mno na nakubali Kazi yake kwani mpaka sasa katufanya wana Simba SC tusiwe busy Kutembea na Calculators (Vikokotoo) kujua...
Mr Nice - Kidali Po, Hii Track ilishika kote kuanzia party za watoto, disco, clubs, MAhafali, n.k. huu moto sidhani kama utakuja kufikiwa.
ana ana ana dooo
kachani ka basto
displine matido
lalalalalahhh. ×2
Mb Dogg - Latifah, Huyo ndo King wa kubana pua aliewa inspire kina Ali Kiba, Z anto...
Yes!
No one saw it coming ..wafia dini wanasema eti ni bongo flavor. Hawasikilizi message.
Hii hapa...
Kaka Joel mimi binafsi nlikua sikujui, ila kuna siku nlikuta wimboo huu unapigwa mahali nikauliza huyu nani?
And the rest is this thread. Keep it Up
Wakuu,
Kama mnavyojua kuwa tuko mwishoni kabisa mwa mwaka 2024 na hivi karibuni mtandao wa kusikilizia muziki ambao una makao makuu yake huko USA, umetoa orodha ya wasanii kutoka Tanzania waliofanya vizuri zaidi.
Kwenye list yao, Spotify wametoa orodha ya wasanii, album na ngoma zilizofanya...
I love that song badly,
but I am completely not accepting the style of Joseph Mbilinyi unreached politics, specifically in mbeya town constituency.
Alistahili kuwa mbali zaidi, lakini pia more powerful politician zaidi ya Lisu na Mbowe kwenye siasa za Chadema na ndani ya Tanzania kwa ujumla...
Kwanza nitangaze Mgongano wa Maslahi kwamba mimi pia ni Shabiki wa Lissu, naheshimu mchango wake katika kupigania mabadiliko ya nchi hii na natambua na kuheshimu gharama alizolipa kwa kwa kazi hiyo kwa ajili ya Taifa hili.
Ila siku za Karibuni ameanza kufanya Siasa fulani hivi za kutuhumu...
Hizo sauti za xxxtencion, juice world in Ai generated na ngoma kali
https://www.youtube.com/watch?v=W41Zg2sxsOc
Hata hiii ya xxtencion ni Ai generated
https://www.youtube.com/watch?v=mvQBbPReWbo
Technology iko kasi.
AFadhali tuendelee kufaidi ngoma mpya
Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA YESU
Kwanini waingileza ndo kama wameukamata huu mchezo wa ngumi
Ni baada ya hapo jana waingileza wawili kutwangana na mwingeleza mmoja kutwangwa kama Ngoma
Huyu Joshua kabla hajapigana nilimpa ushauli nili mfuata inbox huko Instagram nilimpenda sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.