Kwa waliowahi kufuga nguruwe na ngombe kipi kinalipa?
Kwa mazingira niliyokuwepo ngombe ni biashara sana, yaani maziwa sipati hela ya maendeleo, lita tsh 700 kwa maeneo niliyokuwepo na kupata breed yenye maziwa mengi imekuwa mtihani.
Nakubali ngombe analipa sababu napata samadi ambayo naitumia...