n'gombe wa kienyeji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ufugaji wa n'gombe wa kienyeji

    Habarini wakuu, Ni mwanafunzi hapa mwaka wa kwanza nmepata bum, nmefkiria kufanya biashara lakini naona haitokua na usimamizi mzuri. Hivyo nmefkiria kununua n'gombe wa kienyeji. Nahitaji tips za ufugaji wa kienyeji na gharama zake (ndama) kwa ukanda wa Moshi huku.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…