"Ukistaajabu ya Musa,Utayaona ya Firauni", katika hali ya kushangaza katika soko la Vingunguti lililopo jijini Dar es salaam ambapo huchinjwa zaidi ya ng'ombe 500 kwa kila siku, ni kwamba kati ya idadi hiyo karibia ng'ombe 100 huchinjwa wakiwa na mimba.
Mara ya kwanza nilisikia suala hili...