Habari za muda huu Wana JF
Leo katika kukaazangu bila ya kazi nikamua bana kumcheki mpenzi wangu nakumuelezea Hali ya afya yangu ili kumpima atanichukuliaje?
Chatting zikawa kama hivi:
Mimi-Maishayangu siyaelewi wangu
Binti-kivipi mbona bila Salam
Mimi- Haina hata haja ya Salam sijui ntaishi...
Ngono salama sio kuvaa condom tu. Kumbuka condom itaulinda mwili wako lakini kamwe haiwezi kuilinda roho yako dhidi ya roho na nyota mnazobadilishana mnapofanya ngono.
Kabla hujafanya ngono ni muhimu ukumbuke kuwa kila tendo la ngono mnabadilishana roho na nyota zenu. Kama sio muhimu usiuze au...
Wakuu,
Juzi nilicheza mechi ila nilisahau kununua kondomu aisee na leo nlikuwa na mpango baadae ila nimetoa wakati wa kukojoa nimeona kama kuna chembe za usaha kwenye njia ya mkojo.
Hii inaweza kuwa nini wakuu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.