Wakuu nimeanza kupata rashes zinawasha sana!! Ni week ya 2 tangu nijichanganye kwene ngono zembe vip inaweza kua dalili ya HIV
Ushuhuda mzuri kutoka kwa wenye HIV au waliowai pata hili tatizo
Kila kitu kinaanza kwa kuamua kama mimi nilivyoamua kuacha kufanya ngono zembe kwa kuogopa radhi za mwenyezimungu na kuamua kumrudia mungu kisawasawa na kuacha kupiga nyeto huu mwaka sasa unakaribia pia ni kuogopa radhi za mwenyezimungu na kuepuka nuksi za hovyo hovyo kwa kufanya ngono zembe kwa...
Hakika sitasahu Hii kitu, Nilijiamini Mimi Mwenywe Nikamuamini Na Huyo Mwanamke,Nikashiriki nae Tendo bila ya kutumia Kinga
Nikawa wa moto kwenye Mechi Nachapa Miguu yote Mara Nashika dimba Mara Nafunga Magoli ya kichwa Mpaka la Mkono Nikaitendea vizuri Mechi
Kumbe upandacho Ndio Uvunacho Bada...
Jambo hili nililiona kwa ndugu, rafiki na mwanafunzi mwenzangu tukiwa masomoni huko chuo kikuu. wakati huo nilikua mshirika wa unywaji kabla ya kuamua bila shuruti kuachana na hiyo habari kwa hiyari bila shuruti. haikua na shida kwangu ila sikuona umuhimu wake nikaacha...
Tukiwa masomoni...
Tabia za kijamii (community norms) ni very dynamic, hakika kweli hazitabiriki. Mwanzoni tuliambiwa ili kujikinga na ukimwi tuepuke ngono zembe, tutumie kinga (condom), lakini uhakika wakasema tuwe na mwenza mmoja mwaminifu mmoja aliyepima.
Kwa sababu hayo masharti yalikuwa magumu, kwa sasa...
Tabia za kijamii (community norms) ni very dynamic, hakika kweli hazitabiriki. Mwanzoni tuliambiwa ili kujikinga na ukimwi tuepuke ngono zembe, tutumie kinga (condom), lakini uhakika wakasema tuwe na mwenza mmoja mwaminifu mmoja aliyepima.
Kwa sababu hayo masharti yalikuwa magumu, kwa sasa...
Tumieni kinga acheni kuja kuleta masikitiko humu kuhusu mimba, wakati wa mzagamuano hukujua nini kinaweza tokea kwani?
NB: DEMU UKIPEWA MIMBA NA UKAKIMBIWA KABLA YA NDOA USILALAMIKE.
Hakika leo ndo siku ambayo wazinzi wengi wanaamini kwamba sikukuu kwao haiwezi ikaisha hivi hivi bila kudaka malaya na kwenda kujipigia
Leo ndo siku ambayo wengi wanaenda kubeba UTI sugu na mimba sizizotarajiwa
Fanya ngono uwezavyo lakini kumbuka kwamba watu wanatumia vidonge vya kufubaza...
Wakuu ni alfajiri hii siku ya leo, usishangae kwa nini nimeshika simu nakukaa kuandika uzi huu badala ya kujifunika gubigubi blanketi, hapo ujue ni kuwa usingizi umenipaa na dakika kadhaa zilizozopita nimetoka kumaliza kumeza kidoge kimoja kukamilisha dozi yangu ya siku ya 28 ya dawa za PEP (...
Wakuu, bila kupoteza wakati kuna haka ka kitu kanaitwa Mtungi, ama wanasema Bia tamu, Japo kiukweli mimi sijawah onja, ukiachilia mbali imani ya dini, ila kuna vioja ambavyo vinafanya Pombe niingalie tu.
Kama unakumbuka kioja chochote kilichotokea kwako au kwa jamaa aliekua tungi emu kishushe...
Habari za muda huu?
Najua mko wazima kabisa! Wale mnaoumwa Mungu awajalie mrudi kwenye hali zenu za kawaida.
Kumekuwa na hii imani kuhusu Virusi Vya UKIMWI watu wanatumia isivyo vipimo vya VVU(HIV SD BIOLINE au OraQuick HIV test) kama namna moja ya kijikinga ya haya maradhi. Watu wamekuwa...
Anaandika, Robert Heriel,
Kuhani katika Hekalu Jeusi.
Ukitaka bahati yako na mkondo wako wa pesa uanze kuyumba basi itakupasa uanze uzinzi au uasherati. Yaani hiyo ndiyo mbinu namba moja kabambe ya kujitia matatizoni.
Nafsi ya mtu huchafuliwa na uzinzi, yaani ili mtu awe mchafu basi itampasa...
Swala la ngono hovyo katika jamii limefikia hali mbaya. Boss kulala na wafanyakazi wa chini yake, akiyewekeza kidogo hata kwa mradi wa chai anataka kulala na wauza chai wake. Huko serikalini ndiyo usiseme. Mbali na utandawazi ambao umechangia sana ngono zembe ni hali mbaya ya uchumi...
SARATANI YA UZAZI KWA WANAUME
Upande wa Mwanaume Kuna Aina nyingine tofauti tofauti za kansa kwenye mfumo wa uzazi wa mwanaume Kama ilivyo upande wa mwanamke.
Kuna Aina tatu (3) ambazo mara nyingi hutokea au humpata mwanaume kwenye via vyake vya uzazi (mfumo wa uzazi).
✓ Saratani ya kibofu...
Wadau nauliza kama UKIMWI upo maana uzinzi na uasherati baina ya wahusika umekuwa kama mnyororo fulani na hakuna anayejali. Basi ukigusa huo mnyororo, imeisha hiyo.
Ni dhahiri kwamba mlolongo wa ngono zembe ktk jamii upo baina ya makampuni, vyuo, shule, vijiji, bar, maofisi, mahoteli, mageto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.