ngono zembe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hii inaweza kuwa dalili kwamba nimepata maambukizi ya Virusi vya UKIMWI?

    Wakuu nimeanza kupata rashes zinawasha sana!! Ni week ya 2 tangu nijichanganye kwene ngono zembe vip inaweza kua dalili ya HIV Ushuhuda mzuri kutoka kwa wenye HIV au waliowai pata hili tatizo
  2. Nafikisha mwezi wa tatu sijashiriki ngono zembe tokea nimeapa kuachana nayo na mwaka sasa bila kupiga nyeto! Inawezekana

    Kila kitu kinaanza kwa kuamua kama mimi nilivyoamua kuacha kufanya ngono zembe kwa kuogopa radhi za mwenyezimungu na kuamua kumrudia mungu kisawasawa na kuacha kupiga nyeto huu mwaka sasa unakaribia pia ni kuogopa radhi za mwenyezimungu na kuepuka nuksi za hovyo hovyo kwa kufanya ngono zembe kwa...
  3. Nini ulijutia Baada ya Kufanya Ngono zembe?

    Hakika sitasahu Hii kitu, Nilijiamini Mimi Mwenywe Nikamuamini Na Huyo Mwanamke,Nikashiriki nae Tendo bila ya kutumia Kinga Nikawa wa moto kwenye Mechi Nachapa Miguu yote Mara Nashika dimba Mara Nafunga Magoli ya kichwa Mpaka la Mkono Nikaitendea vizuri Mechi Kumbe upandacho Ndio Uvunacho Bada...
  4. Pombe miongoni mwa vichocheo vya ngono zembe

    Jambo hili nililiona kwa ndugu, rafiki na mwanafunzi mwenzangu tukiwa masomoni huko chuo kikuu. wakati huo nilikua mshirika wa unywaji kabla ya kuamua bila shuruti kuachana na hiyo habari kwa hiyari bila shuruti. haikua na shida kwangu ila sikuona umuhimu wake nikaacha... Tukiwa masomoni...
  5. T

    Ili Kujustify Ngono Zembe, Jamii imejitengezea Myth Mpya, Njia Nyepesi ili Kujikinga na Maambukizi dhidi ya Ukimwi

    Tabia za kijamii (community norms) ni very dynamic, hakika kweli hazitabiriki. Mwanzoni tuliambiwa ili kujikinga na ukimwi tuepuke ngono zembe, tutumie kinga (condom), lakini uhakika wakasema tuwe na mwenza mmoja mwaminifu mmoja aliyepima. Kwa sababu hayo masharti yalikuwa magumu, kwa sasa...
  6. T

    Ili kuhalalisha ngono zembe tumejitengenezea dhana mpya eti zinatukinga dhidi ya UKIMWI!

    Tabia za kijamii (community norms) ni very dynamic, hakika kweli hazitabiriki. Mwanzoni tuliambiwa ili kujikinga na ukimwi tuepuke ngono zembe, tutumie kinga (condom), lakini uhakika wakasema tuwe na mwenza mmoja mwaminifu mmoja aliyepima. Kwa sababu hayo masharti yalikuwa magumu, kwa sasa...
  7. Tumia kinga acha ngono zembe

    Tumieni kinga acheni kuja kuleta masikitiko humu kuhusu mimba, wakati wa mzagamuano hukujua nini kinaweza tokea kwani? NB: DEMU UKIPEWA MIMBA NA UKAKIMBIWA KABLA YA NDOA USILALAMIKE.
  8. N

    Leo ndo siku ya watu kuchukua UTI sugu na mimba zisizotarajiwa sababu ya ngono zembe

    Hakika leo ndo siku ambayo wazinzi wengi wanaamini kwamba sikukuu kwao haiwezi ikaisha hivi hivi bila kudaka malaya na kwenda kujipigia Leo ndo siku ambayo wengi wanaenda kubeba UTI sugu na mimba sizizotarajiwa Fanya ngono uwezavyo lakini kumbuka kwamba watu wanatumia vidonge vya kufubaza...
  9. M

    True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

    Wakuu ni alfajiri hii siku ya leo, usishangae kwa nini nimeshika simu nakukaa kuandika uzi huu badala ya kujifunika gubigubi blanketi, hapo ujue ni kuwa usingizi umenipaa na dakika kadhaa zilizozopita nimetoka kumaliza kumeza kidoge kimoja kukamilisha dozi yangu ya siku ya 28 ya dawa za PEP (...
  10. Vioja vya pombe kukolea kichwani, ngono zembe na ujasiri fake

    Wakuu, bila kupoteza wakati kuna haka ka kitu kanaitwa Mtungi, ama wanasema Bia tamu, Japo kiukweli mimi sijawah onja, ukiachilia mbali imani ya dini, ila kuna vioja ambavyo vinafanya Pombe niingalie tu. Kama unakumbuka kioja chochote kilichotokea kwako au kwa jamaa aliekua tungi emu kishushe...
  11. Je wajua unaweza kuambukizwa VVU/UKIMWI hata kama uliyefanya naye ngono zembe umempima na majibu yamekuja Negative?

    Habari za muda huu? Najua mko wazima kabisa! Wale mnaoumwa Mungu awajalie mrudi kwenye hali zenu za kawaida. Kumekuwa na hii imani kuhusu Virusi Vya UKIMWI watu wanatumia isivyo vipimo vya VVU(HIV SD BIOLINE au OraQuick HIV test) kama namna moja ya kijikinga ya haya maradhi. Watu wamekuwa...
  12. Uchunguzi: Ngono zembe inaharibu bahati na future

    Anaandika, Robert Heriel, Kuhani katika Hekalu Jeusi. Ukitaka bahati yako na mkondo wako wa pesa uanze kuyumba basi itakupasa uanze uzinzi au uasherati. Yaani hiyo ndiyo mbinu namba moja kabambe ya kujitia matatizoni. Nafsi ya mtu huchafuliwa na uzinzi, yaani ili mtu awe mchafu basi itampasa...
  13. Umuhimu wa kuwafundisha vijana mahusiano yasiyo na hizi ngono zembe

    Swala la ngono hovyo katika jamii limefikia hali mbaya. Boss kulala na wafanyakazi wa chini yake, akiyewekeza kidogo hata kwa mradi wa chai anataka kulala na wauza chai wake. Huko serikalini ndiyo usiseme. Mbali na utandawazi ambao umechangia sana ngono zembe ni hali mbaya ya uchumi...
  14. Wenye michepuko mingi na ngono zembe mnahatari ya kupata saratani ya via vya uzazi kwa wanaume

    SARATANI YA UZAZI KWA WANAUME Upande wa Mwanaume Kuna Aina nyingine tofauti tofauti za kansa kwenye mfumo wa uzazi wa mwanaume Kama ilivyo upande wa mwanamke. Kuna Aina tatu (3) ambazo mara nyingi hutokea au humpata mwanaume kwenye via vyake vya uzazi (mfumo wa uzazi). ✓ Saratani ya kibofu...
  15. Hivi UKIMWI bado upo kweli?

    Wadau nauliza kama UKIMWI upo maana uzinzi na uasherati baina ya wahusika umekuwa kama mnyororo fulani na hakuna anayejali. Basi ukigusa huo mnyororo, imeisha hiyo. Ni dhahiri kwamba mlolongo wa ngono zembe ktk jamii upo baina ya makampuni, vyuo, shule, vijiji, bar, maofisi, mahoteli, mageto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…