ngorongo kubaki wazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, maagizo ya Rais Samia kuhusu Ngorongoro yanatengua amri rasmi iliyochapishwa au ni maigizo?

    Siku tano zikizopita Rais wa Tsnzania alituma wasaidizi wake ambao ni Prof. Kabudi na William Lukuvi kwenda kusawazisha mambo kule Ngorongoro. Aliagiza kurejeshwa kwa huduma zote za kibinadamu hususan haki ya kupiga kura, afya na elimu vitu ambavyo vilikuwa vimesitishwa chini ya mtutu wa...
  2. SI KWELI Godbless Lema asema mgogoro wa Ngorongoro umepandikizwa na wafanyabiashara wa utalii kutoka Kenya

    Godbles Lema awachana wamasai, amesema ana taarifa kuwa wanatumiwa na wafanyabiashara wa Kenya. Nimependa sana ujasiri wa Lema, kuwa mpinzani siyo kukataa kila kitu. Suala la Ngorongoro limeileta nchi pamoja, hata wapinzani wameungana na Serikali.
  3. Askofu Mwamakula Aishangaa Serikali Kuyafuta Makazi ya Ngorongoro

    Ndugu Watanzania! Serikali ya Tanzania, kupitia Supplement Na. 30 imetoa Tangazo la Serikali Na. 673 la 2/9/2024 la kufuta Kata 11, Vijiji 25 na Vitongoji 96 katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro katika Mkoa wa Arusha. Kuna taarifa kuwa nyaraka hii inayosambaa mitandaoni kuanzia leo...
  4. Jenerali Mabeyo: Hifadhi ya Ngorongo Inatakiwa Kubaki Wazi

    My Take Naunga mkono hoja,hakuna excuses ya sijui Ardhi yetu sijui ya nani? Lazima Hifadhi Ilindwe.https://radiotadio.co.tz/loliondofm/2024/05/07/453/ == Katika jitihada za serikali za kuhakikisha eneo la hifadhi ya Ngorongoro libaki wazi kupisha shughuli za uhifadhi,mamlaka ya hifadhi hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…