ngorongoro crater

The Ngorongoro Conservation Area (UK: , US: ) is a protected area and a World Heritage Site located 180 km (110 mi) west of Arusha in the Crater Highlands area of Tanzania. The area is named after Ngorongoro Crater, a large volcanic caldera within the area. The conservation area is administered by the Ngorongoro Conservation Area Authority, an arm of the Tanzanian government, and its boundaries follow the boundary of the Ngorongoro Division of the Arusha Region.
The 2009 Ngorongoro Wildlife Conservation Act placed new restrictions on human settlement and subsistence farming in the Crater, displacing Maasai pastoralists, most of whom had been relocated to Ngorongoro from their ancestral lands to the north when the British colonial government established Serengeti National Park in 1959.

View More On Wikipedia.org
  1. Njoo utembelee na ujue historia ya Serengeti and Ngorongoro crater safari ya kutwa.

    Hello wana jamii forum! Karibuni sana kwenye majadiliano yetu leo! Leo ningependa kuzungumzia hifadhi mbili maarufu sana hapa Tanzania, ambazo ni Serengeti National Park na Ngorongoro Conservation Area. Serengeti National Park ni moja ya vivutio vikuu vya utalii hapa Tanzania na kimataifa pia...
  2. B

    Serikali yaahidi kukuza sekta ya Utalii kupitia NAPA

    Serikali kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imesema miongoni mwa maeneo ya vipaumbele vya Wizara chini ya Mfumo wa Anwani za Makazi ni kushiriki kikamilifu katika kukuza Sekta ya Utalii nchini. Kauli hiyo imetolewa leo tarehe 15 Septemba, 2024 na Bw. Mulembwa Munaku...
  3. Askari uhifadhi Ngorongoro watakiwa kujenga mahusiano mazuri na wananchi

    Askari Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) wametakiwa kujenga mahusiano mazuri na wananchi wanaozunguka Hifadhi ya Ngorongoro ili kuendeleza juhudi za uhifadhi za eneo hilo. Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) ameyasema hayo leo Septemba 12...
  4. Today I visited Ngorongoro Crater: Ni pazuri kinoma

    Wakuu, wazee wa nature. Nimekuja Arusha, katika tour ya siku tatu, nimeanza na Ngorongoro crater. Hii reserve nzuri kinoma, nilibahatika kuwaona wanyama mbalimbali, nature na mandhari nzuri ya ziwa. Nasubiri kuona Lake Eyasi, shifting sand na Olduvai. Pamoja na kwamba ni weekdays ila...
  5. S

    Wacheni Siasa za Majungu- Ngorongoro crater ndio bustani ya Aden

    Wamasai ni wavamizi katika maeneo ya Eneo la crater. Msiwatumie kisiasa ,asili yao ni Ethiopia kama walivyo waTz wengine wana asili ya uhindini na wengine uarabuni na walio wengi ni kutoka misitu ya Congo ,hii Tanganyika ilikuwa pori tupu ,msikae na kuwadanganya wasiojua historia ya nchi hii na...
  6. DOKEZO Rais Samia, Barabara ya Ngorongoro Crater ni mbovu, Watalii wanapata ajali mara kwa mara

    Rais Samia Pole na Majukumu ya Kuliongoza taifa. Kwa niaba ya madereva Guide wa Utalii nipende kuelezea kero juu ya kona kali ya perving ya kupandia kutoka ndani ya Crater. Mh Rais ni kwamba Mamlaka ya Ngorongoro imeshindwa kuchonga Mwamba hata mita mbili ili kuondoa wimbi la ajali inayotokea...
  7. Tafadhali TANAPA angalieni hali ya vyoo vya umma Serengeti na Ngorongoro Crater

    Hichi ndicho mgeni anakutana nacho pale anapotaka kuoga au kutumia public toilet kwenye campsite, ni tatizo kubwa kwa image ya nchi yetu,,,, Bar wanawezakuweka mtu wa usafi chooni ila Tanapa na Ngorongoro mnashindwa kweli au mko busy na mambo mengine?
  8. REVEALED: Narok County Senator Ledama, Maria Sarungi Sponsors of Maasai Saga in Ngorongoro Crater

    Today June 15th, 2022, the Maasai living in Kenya and those from Ngorongoro who recently crossed the border to Kenya,plan to gather in front of the Tanzania High Commission in Nairobi, Kenya to protest what they term as 'a brutal eviction of Maasai from the crater'. The demonstration is...
  9. B

    Five Reasons Kenya Funds Evil Scenes in Ngorongoro Crater

    Five Reasons Kenya Funds Evil Scenes in Ngorongoro Crater By James Mulaitu, Kenya June 13, 2022 Sponsored media and special tasks in my country (Kenya) are now busy misleading the world through false videos, pictures, and creating artificial scenes showing the Maasai in Ngorongoro crater badly...
  10. Ngorongoro sio sehemu ya makazi ya binadamu bali ni hifadhi ya wanyamapori

    #NGORONGORO SIO SEHEMU YA MAKAZI YA BINADAMU BALI NI HIFADHI YA WANYAMA POLI Naa Joseph #Yona Mwaka 1960 Ngorongoro Ilikuwa na Tembo zaidi ya 2000! Ila leo hii Tembo waliobaki Ngorongoro ni 30! Moja ya utajiri wa kipekee duniani ni kuwa na wanyama Mwitu kama hawa ambao sisi wabongo...
  11. Maajabu 7 ya Afrika kama yalivyopigiwa kura mwaka 2013

    Maajabu 7 ya Afrika kwenye mpangilio wake kama jinsi yalivyopigiwa kura mwaka 2013. 1. Bahari nyekundu -Misri, Eritrea, na Sudan. 2. Mlima Kilimanjaro -Tanzania. 3. Jangwa la sahara- Algeria, Chad, Misri, Libya , Mali, Mauritania, Morocco, Niger, Sudan, Tunisia. 4. Kuhama hama kwa wanyama...
  12. Mfahamu Michael Grzimek, Mjerumani aliyekufa kwa kuanguka na ndege Ngorongoro mwaka 1959

    MICHAEL GRZIMEK Mjerumani mtengeneza filamu za wanyama aliekufa kwa kuanguka na ndege Ngorongoro kreta baada ya ndege yake kugongana na ndege wa porini aina ya tai(vulture). Michael Grzimek alizaliwa 12 April 1934 Berlin Ujerumani,alikuwa mtoto wa pili wa Bernhard Grzimek na Hildegard Plüfer...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…