Wasaalam Wadau wa Jukwaa letu hili 🤝
WAZIRI DKT. GWAJIMA AZINDUA BARAZA JIPYA NGOs
Source; Na WMJJWM, Dodoma, @maendeleoyajami @nacongotz
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ametoa wito kwa Viongozi na Wajumbe wote wa Baraza la Mashirika...