Mwandishi na msomi mashuhuri wa Kenya Ngũgĩ wa Thiong'o afariki akiwa na umri wa miaka 87
Taarifa za Msiba zimethibitishwa Wanjikũ wa Ngũgĩ, ambaye ni binti wa mwanafasihi huyo mahiri barani Afrika,
Taarifa hizo zinaelezea Kuwa alikuwa na matatizo ya afya ikiwa ni pamoja na matatizo ya figo...