nguli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TANZIA Lee "Scratch" Perry, mtayarishaji nguli wa Reggae, afariki dunia akiwa na miaka 85

    Pigo lingine laufika muziki wa Reggae. Mwimbaji na mtayarishaji nguli wa muziki wa Reggae, Lee "Scratch" Perry, ameondoka akiwa na miaka 85. Kufuatia taarifa iliyotolewa na Waziri Mkuu wa Jamaica Andrew Holness, Lee, ambaye jina lake halisi ni Rainford Hugh Perry, aliaga dunia tarehe 29 Agosti...
  2. TANZIA Ephraim R. Mwansasu, Nguli wa Nyimbo za Injili Afariki Dunia

    Mwimbaji mkongwe wa nyimbo za injili na Askofu wa Hossana Assemblies of God Ephraim R. Mwansasu amefariki dunia usiku wa kuamkia leo (29/08/2021). Mwasasu alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo kwa muda mrefu, kwa sasa msiba upo Kimara Mwisho. Mwansasu atakumbukwa kwa nyimbo zake nyingi...
  3. Sijasikia nguli yoyote wa Sheria akijinasibu kumnasua Mbowe. CHADEMA sio kama NCCR ya akina Marando

    Tukubali ukweli tu kuwa chama chetu hakina watu mahiri na makini kama enzi za akina Marando wa Nccr mageuzi. Kesho mwamba ataletwa Kisutu na kisha kusomewa Commital. Naona wanasheria wa mwamba wanalalamikia kukamatwa kwake lakini hawajasema kama watamchomoa,means wamekubali yaishe. Enzi zile...
  4. E

    Chimamanda Ngozi Adichie Mwandishi nguli Afrika

    Chimamanda Ngozi Adichie was born in Enugu, Nigeria in 1977. She grew up on the campus of the University of Nigeria, Nsukka, where her father was a Professor and her mother was the first female Registrar. She studied medicine for a year at Nsukka and then left for the US at the age of 19 to...
  5. Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

    Nina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu
  6. Jakaya Kikwete ni nguli na mwamba wa historia wa Tanzania na Afrika

    Kuna vitu mtu lazima ukubali kuna watu wamebarikiwa tu, Jakaya Kikwete ni mchumi lakini akisimama kwenye mimbari kuongea historia ya nchi hii wapi tumetoka, Tupo wapi na tunaelekea wapi huwezi kuchoka kumsikiliza. Hotuba ya Jakaya Kikwete kwenye mazishi ya Nelson Mandela hakika yalifungua macho...
  7. M

    Pascal Mayalla kutoka kuwa Mwandishi Nguli hadi Mtangazaji wa kawaida East Africa Radio inamaanisha nini katika Tasnia?

    Je, kwa hali hii ina maana Tasnia ya Habari nchini imekuwa Kimafanikio au imeshuka na sasa imeanza kupoteza Umuhimu nchini? Binafsi kwa Hadhi ya Unguli wa Habari aliokuwa nao Pascal Mayalla nilitegemea leo hii angekuwa anamiliki Chombo chake kikubwa sana cha Habari nchini Tanzania na siyo kuwa...
  8. J

    Husna Saidi akiwa Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa itapendeza sana

    Huyu mama ana msimamo usioyumba tokea enzi za hayati Magufuli hajawahi kujipendekeza. Tukumbuke kuwa hata mgombea ubunge wa Chadema kule Chato alipata kura nzuri tu. Na hata Tundu Lisu wakati wa kampeni Chato na Nkasi ndio maeneo aliyopata mapokezi makubwa sana. Bawacha fikirieni kumpa huyu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…