ngumi

Peter Kariuki Ngumi (born 16 July 1977) is a Kenyan boxer. He competed in the men's middleweight event at the 2000 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. Kauli ya Dullah Mbabe kupigana akiwa mgonjwa kisa kupata mkate wa familia, bodi ya ngumi mjitathmini

    Dullah Mbabe akasema alipiga ili watoto wapate ridhiki ya kula na shule japo ni mgonjwa na ana majeraha makubwa, hii ni kauli ya kishujaa Kwa mwanaume inauma kuona watoto wanakosa chakula na masomo ukiwa hai, laZima utafanya shughuli yoyote ya hatari watoto wapate ridhiki. Dullah Mbabe ni kati...
  2. Waziri Prof. Kabudi aufuta Uongozi wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) kutokana na tuhuma mbalimbali

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi ameufuta Uongozi wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) baada ya uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zilizowasilishwa na wadau wa mchezo wa ngumi. Taarifa kutoka Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeeleza...
  3. Haji Manara na Steve Nyerere zile Ngumi mlizopigana pale Serena Hotel Wiki Tatu sasa zimepita zilisababishwa na nini?

    Na mlichokisahau mlijitahidi sana kulificha hili hasa wa Waandishi wa Habari mbalimbali ila mkasahau kuwaambia Walinzi wa Hoteli husika nao Wauchune wasiseme na hata Wataalam wa IT wa hiyo Hoteli nao Wauchune na kama kawaida yangu Mzee wa Kuzipata zile Taarifa Ngumu na Zilizofichwa Tanzania...
  4. Ni wapi wanafundisha mchezo wa ngumi (boxing) kwa hapa Iringa

    Wakazi na wale wenyeji wa Iringa. Naomba mnielekeze sehemu ambayo ni nzuri kwa kujifunza boxing, Mimi ni mgeni katika mkoa huu na nmepata wazo la kujifunza Tamaduni hii ya ngumi (Boxing) kwa lengo la kujiweka sawa kimwili na kiakili, Naomba kuelekezwa sehemu, iwe gym au mwalimu mzuri...
  5. Tyson Furry atangaza kustaafu Ngumi baada ya kupoteza pambano lake la mwisho na Oleksandr Usyk

    Bondia wa ngumi za uzito wa juu, Tyson Fury, ametangaza kustaafu mchezo wa ngumi baada ya kushindwa kwenye pambano na Oleksandr Usyk. Taarifa hii inakuja siku mbili tu baada ya Eddie Hearn kufichua mipango ya pambano kati ya Fury na Anthony Joshua katika Uwanja wa Wembley, ambalo lilikuwa...
  6. Sasa hivi kupita mkesha/sikukuu bila ngumi imekuwa kawaida sana kitu ambacho miaka hiyo ilikuwa ni Nadra mno

    Sijui ni kwamba watu wameokoka sana hata sielewi kabisa.Miaka ya nyuma mkienda kwenye mkesha ama sikukuu ilikuwa ni lazima ushuhudie ngumi za wanaume zikipigwa katikati ya senta . Haikuwa sio ajabu kuona wala kusikia kuwa akina J n p jana walizipiga kwenye mkesha.Ni miaka sasa imepita bila...
  7. K

    Wakunja ngumi wanaleta mapinduzi Tanzania polepole

    Tulishasema mwaka jana mwezi wa kwanza kwamba misimamo mikali itaingia kama demokrasia ikipuuzwa na yameanza kutimia. Kuna watanzania vijana wengi nje na ndani ya vyama hawapendwezi na mwenendo wa sasa wa upatikanaji wa viongozi kwa njia ya wizi wa kura, polisi na usalama wa taifa na wako tajari...
  8. Tanzania kutumia balozi zake kukuza mchezo wa ngumi kimataifa

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema Tanzania imejipanga kutumia balozi zake zote zilizopo katika mataifa mbalimbali duniani, ili kuzifikia fursa za Kimataifa zilizopo katika mchezo wa Ngumi na kuwezesha mchezo huo kukua Kimataifa...
  9. Wenje: Chadema wapo watu wa aina mbili, wenye vyeo na kama huna cheo basi ni mkunja ngumi

    Ezekiah Wenje ambae anagombea nafasi ya makamu mwenyekiti wa Chadema taifa na ambae ni mfuasi wa Mbowe anasema "ndani ya Chadema huwa tunasema kama huna cheo basi utakuwa mkunja ngumi tu" Kwenu makamanda mtakaoambiwa na Mbowe "Kunja ngumi kamanda" mjue hiyo ni kazi yenu kama huna cheo.
  10. G

    Haya ni makosa watu huyafanya na kuwagharimu kwenye ngumi za Mtaani (Street Fights)

    Pengine unaweza kujiona upo salama kwa kudhani ngumi za mtaani ni kwa wapiga debe, bodaboda, au watu wa tabaka fulani tu. Ukweli ni kwamba, mtu yeyote anaweza kujikuta kwenye hali hii, tulichotofautiana ni viwango tu, Unaweza ukawa unajenga nyumba yako mmepishana kauli na fundi kiasi cha...
  11. Naona sasa mchezo wa ndondi nao wameingia kwenye mfumo waja na ''Knock out ya mama''

    Wakuu ! Inawezekana tumezoea kuona mchezo wa mpira wa miguu ukipata faida kutoka kwa serikali. Mfano goli la mama katika michuano ya kimataifa na hapa naweza kusema Yanga na Simba ndiyo wamenufaika zaidi kulamba mihela ya goli la mama na hata timu ya taifa nayo siku kadhaa zilizopita walipata...
  12. M

    Ile ngumi haikuwa ya kawaida

    Nawasalimu kwa jina la Engonga Baltazar. Mwaka 2017 nipo advance nilitoroka skul nikaenda kukesha kwenye mwenge, napenda sana muziki na nilikuwa na talent ya kucheza na kuimba ila sjui vimepotelea wapi nimebakiza kuimba tu labda. Kulikuwa na mziki unarindima so mchezo, mida ya saa tano...
  13. LGE2024 Arusha: Lema aagiza kufukuzwa kwa Wanachama waliofanya fujo uchaguzi wa CHADEMA

    Wakuu Kumeanza kuchangamka huko Arusha Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini Godbless Lema, ameagiza wanachama wote waliofanya fujo wakati wa zoezi la uchaguzi wa ndani wa chama hicho uliofanyika mkoani humo kufukuzwa uwanachama.
  14. Miaka 50 imetimia Tangu Dunia Isimame kushuhudia Pambano Kubwa La Ngumi Kutokea

    Ilikua jumatano kama ya leo Tarehe hii hii mwezi huu huu mwaka 1974, Ndio miaka 50 pale Dunia iliposhuhudia mpambano mkubwa wa ngumi haukuwahi kutokea kati ya bondia George Foremen (Big George) na Muhammed Ali (The Greatest). Pambano hilo la aina yake lililopewa jina la Rhumble in the Jungle...
  15. Nafanyaje mazoezi ya kukomaza ngumi na kichwa kama wale wanajeshi wanaovunja matofali?

    Wakuu kuna zile siku za sikukuu huwa tunaona maonyesho ya Wanajeshi kuvunja tofali kwa mikono au kichwa mmeshawakumbuka eeh? Ule uwezo kuna mtu anaweza kunipa dondoo unapatikana vipi inachukua muda gani au pengine huwa kuna dawa ya kupaka kutia ganzi kupunguza maumivu? Nimeamia kibandani...
  16. Z

    Pre GE2025 Wakati mwingine wanasiasa natamani kuwapiga ngumi

    Jana nilipita sehemi kulikuwa na kampeni nafikiri Kwa sababu ya chaguzi za Serikali za mitaa. Nikasikia mzungumzaji akisema eti Mh Samia ameshindwa kazi Kwa sababu vifo vya kinamama wanayojifungua viongezeka ..nilitamani kumpiga ngumi aisee. Sasa vifo hivyo Rais anahusikaje Kwa mfano? Maana...
  17. Utani wa ngumi

    Ila watu wana maneno aisee.πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
  18. W

    Ngumi za mtaani mmepewa uwanja unaanza vipi kuongea maneno, kijana kaambulia aibu kwa kushushiwa kipigo kikali hadharani, usipende kuongea ikikutokea!

    Nimetoka zangu kazini nikaona niende kununua mahitaji kadhaa sokoni. Ghafla nikaona tunaambiwa na vijana jamani mpishe hii njia kidogo iwe wazi kwa muda, nilidhani labda kuna emergency nikasimama. Ghafla wakaingia vijana wawili kumbe ni ugomvi. Moja wao kavaa vizuri tu sikuweza kumdhania...
  19. "50 Cent" kawapa ngumi za uso wanawake

    50 Cent alifunguka kuwa moja kati ya vitu vingi anavyovipenda ni kuwakataa wanawake wanaojirusha kwake, kwa sababu pia wanafurahia kukataa wanaume wa kawaida. Anafanya hivyo kwa sababu anajua sababu ya wengi wa wanawake hawa kujirusha kwake ni kwa sababu ya umaarufu na utajiri wake. Ikiwa...
  20. TFF iwafungie wachezaji wa Tabora Fc kujihusisha na soka ngumi haziruhusiwi uwanjani

    Kama mlimfungia yule kocha wa makipa wa Mashujaa Fc aliyemtandika ngumi mchezaji wa mbeya city Basi wafungieni na hawa wahuni wa Tabora Fc waliotaka kumpiga refa kwa kurusha ngumi, Hii timu tangu msimu unaanza mechi ya kwanza iliingiza wachezaji 8 uwanjani Hii timu ipigeni kufuri haitakiwi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…