Mimi ni mshabiki mzuri wa ngumi. Hivi karibuni kumekua na mwamko mkubwa wa ngumu za kulipwa nchini. Shida kubwa inakuja pale panapokua na pambano zuri lakini muda unakua sio rafiki kabisa.
Tukiangalia ngumi za Marekani ambazo nyingi wanapigana Las Vegas huwa zinakua masaa ya alfajiri kwetu. Kwa...