Uhai na utu wa mtu kwasasa vinachukuliwa kama mchezo mchezo tu.
Yaani mume anafikia hatua ya kutaka kuua kisa mke kagawa jeans ya mtumba ambayo mume haivai , yaani Bora nguo iozee ndani kuliko kuigawa kwa wahitaji kwelii!?
Halafu hizi tabia za wanaume kupiga wake zao wakikosea, nyie nani...