Nimeona mchekeshaji wa Kenya Kennar akiwa amevaa magwanda ya Jeshi kwenye baadhi ya maudhui yake ya vichekesho (Mtandaoni).
Swali: Nchi ya kenya inaruhusu wananchi kuvaa nguo za jeshi?
NB: HAPA TZ UKIKUTWA UMEVAA NGWANDA NI KOSA KISHERIA NA UKIKAMATWA UNACHEZEA MBATA ZA KUTOSHA.
Tunaambiwa ni kosa mtu kuvaa magwanda yenye mfanano na yale ya majeshi yetu.
Je, kitendo cha Makonda kuvaa kule Chuga lile jacket ni sahihi? Je, na mimi mwananchi wa kawaida nikipata kama lile nivae tu au mimi siruhusiwi?
Je, Makonda kuvaa vile ana lengo gani au anataka kufikisha ujumbe gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.