nguo za kulalia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Inashangaza mtu anakuwa na nguo hadi za kulalia

    Yani mnachukulia usingizi ni kitu serious sana mpaka mnakuwa na nguo za kulalia, Yani mtu anakuwaje na nguo za kulalia? Mimi najua unajitupa tu kitandani unalala Ivo Ivo. Nguo zakulalia tena?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…