Baada ya Kifo cha John Magufuli Africa ya mashariki kiongozi imara na mwenye maono aliyebaki ni Paul Kagame Rais wa Rwanda.
Akihojiwa na mwandishi wa habari Mario Nawfal hivi karibuni kagame amesikitishwa na kitendo cha Afrika mashariki kuendelea kuingiza nguo zilizotumika maarufu kama mitumba...
Wakuu
Tanzania inashika nafasi ya tatu katika orodha ya nchi waagizaji wakubwa wa nguo za mitumba barani Afrika, ikiwa na thamani ya $148 milioni kwa ripoti ya mwaka 2022.
Biashara hii imeendelea kukua kutokana na mahitaji ya nguo nafuu na ubora wa bidhaa zinazozalishwa kutoka nje. Kenya...
Wanawake ambao ni wafanyabiashara wa nguo za mitumba wamegundua aina mpya ya nguo za mitumba zenye gharama nafuu kwa watu wa kupato cha chini.
Wanawake hao wamekuwa wakienda Dampo/jalalani kutafuta nguo zilizotupwa na zilizoletwa na magari ya taka na hivyo kuchukua nguo hizo kwa kununua...
My Take
Rwanda tayari,Uganda tayari.
---
The President was speaking at the opening of 16 factories at Sino-Uganda Mbale Industrial Park yesterday.
President Museveni has re-echoed the need for citizens to embrace the Buy Uganda Build Uganda (BUBU) policy if the country is to develop.
In line...
SWALI LA KWANZA
UNAPENDA AU UMEWEKEZA TU.??
Leo nataka nitoe mfano mmoja kwa kutumia GENGE LA CHIPS tu. Hapa naongea na watu wanaopenda sio wanaowekeza ,ndio unawekeza je unapenda ???? kwanza unapenda ???
Usilaumu Usimamizi wakati hufurahii kukaa kwenye Banda la chips mda mwingi
Kuna watu...
Habari za mchana"""
Natumaini wote nyote ni wazima....
Naomba muongozo wa kufanya biashara ya nguo,🎽Viatu n.k vya mitumba kwa kuniambia ni store zipi naweza kwenda kuchuwa mzigo na cost ni shingapi kwa kila baloo, mtaji wa kuanzia unahitajika kama shingapi na changamoto za biashara hii...
Habari za maisha wanaJF?
Mimi naomba msaada ni wapi naweza kupata nguo kali za wadada za mtumba kwa bei nafuu hapa Dar haswaa zile wanazopenda kuvaa wanachuo nimeattach picha ya mfano wa nguo hapo.
Natanguliza shukran zangu za dhati
i
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.