Wakuu
Tanzania inashika nafasi ya tatu katika orodha ya nchi waagizaji wakubwa wa nguo za mitumba barani Afrika, ikiwa na thamani ya $148 milioni kwa ripoti ya mwaka 2022.
Biashara hii imeendelea kukua kutokana na mahitaji ya nguo nafuu na ubora wa bidhaa zinazozalishwa kutoka nje. Kenya...