nguo za mtumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Habari nauza nguo za mtumba nipo Dar es salaam wapi nikitembeza naweza nikapata soko kirahisi naombeni ushauri wenu

    Mimi ni kijana mjasiriamali naombeni ushauri wenu nauza nguo za mtumba za watoto nikitembeza wapi naweza nikapata soko kirahisi nipo dar es salaam
  2. King Jody

    Nguo za mtumba ambazo zinaweza kukuletea madhara makubwa

    Kulingana na hali ya kiuchumi katika jamii kwa ujumla swala la nguo za mtumba haliepukiki, Tangu tulipokuwa wadogo tumekuwa tukivaa nguo za mtumba na maisha yanasonga kama kawaida, Pamoja na ukweli kwamba nguo hizi za mtumba haziepukiki kwa sababu bei zake ni rafiki kwetu, kuna baadhi ya nguo...
  3. S

    Nisaidieni machimbo ya mavazi ya stara, mtumba grade one na mpya kwaajili ya biashara

    Naombeni mnisaidie machimbo ninayoweza kupata mavazi ya stara mfano abaya ya mtumba au mapya, pia magau mpya mzuri pia mguo mbali mbali za stara.
  4. Roseyree

    Nauza Magauni ya mtumba, jumla 2500 hadi 3000. Unapata gauni kali

    Hellow wapendwa nauza nguo za mtumba kali Magauni na tops kali pia. -Magauni jumla utapata kuanzia sh 2000, 2500 tu hadi 3000 guys vigauni vizuri mnoo ambayo ukienda kuuza unapata faida kama unataka kuanza biashara karibu Nauza magauni kwa reja reja pia kuanzia sh elfu 7000 hadi 15000...
  5. Roseyree

    Anayetaka tuanze biashara ya kuuza nguo za mtumba vyuoni

    Hello guys Mm ni muhitimu wa chuo nikaona kukaa tu sio poa niko Dar hapa kuna vyuo vingi natafuta mdada ambae yuko tayali tuanze kupita vyuoni kutafuta wateja na kuuza nguo kwenye hostels tunaenda kufata nguo karume tunaenda kuuza 0625056158
  6. V

    INAUZWA Tunauza mabalo ya nguo za mtumba

    Karibuni sana vunjabei mtumba grade1 wauzaji wa balo za mtumba grade 1 kutoka China Dubai uturuki Canada Tuna balo za nguo aina zote kama Gauni jeans suruali Koti blouse skirt tshirt jeans kadeti pens Shati Viatu mabegi pazia shúka Tunapatikana Ilala boma dar es salaam mtaa wa mwanza...
  7. Benews

    Biashara iliyoniokoa baada ya kumaliza chuo

    Habari Wadau! Sikuwahi kuwaza Kama ningekuja kuwa mfanyabiashara siku moja. Lakini hakuna ajuaye kesho. Ok nilihitimu Udsm 2019 tangu hapo sijawahi kupata kazi yeyote yakulipwa kutokana na elimu nilitosoma. Kwetu Ni Moshi hivyo nikawa nashinda tu home Sina hili Wala lile umri unaenda na Wala...
  8. Ubungo Mataa

    Mzoefu wa biashara ya nguo za mtumba anahitajika

    Wakuu heshima itawala.. Nisiwachoshe maana January hii ngumu sana. Natafuta mtaalamu anaejua machimbo/magodaoni yenye nguo kali za mtumba ( Mabalo kutoka Uturuki au Dubai) na mwenye utaalamu wa kuchagua tufanye biashara. Kazi yake itakuwa ni kunipa mwongozo, mm nitakuwa nachukua naend kuuza...
  9. I

    Nipo na fremu ya nguo za mtumba ila sina mzigo wa kutosha

    Habari zenu, natumaini ni wazima wa afya. Nipo na fremu ya nguo za mtumba ila sina mzigo wa kutosha. Anehitaji kuniwezesha kwa mzigo namkaribisha, mitumba ya baibui, abaya za kikubwa na kitoto, kanzu za msikitini ndogo na kubwa pia madashdash, mabwanga pamoja na night dress hata viatu vya kike...
  10. I

    Biashara ya nguo za mtumba

    Kama una mtaji wa kuanzia laki 7+ na unahitaji kupata faida kuanzia laki 3+ per month njoo inbox tuongee biashara ya nguo za mtumba nitakuelezea ukikubali tutafanya
  11. BARD AI

    Mawaziri wa Afrika wakubaliana kupiga marufuku biashara ya Nguo za Mtumba

    Uamuzi huo umefikiwa na Mawaziri wa Nchi za Afrika, baada ya Mkutano wa pili uliofanyika jijini Nairobi ikiwa ni utekelezaji wa matakwa ya Eneo Huru la Biashara la Bara la Afrika (AfCFTA). Katibu Mkuu wa AfCFTA, Wamkele Mene, amesema uamuzi wa kuzuia biashara ya mitumba ni hatua muhimu ya...
  12. P

    Nahitaji belo ya Mavazi ya kiarabu (Arabic dress)

    Habari zenu wakuu, Naomba msaada kwa anayejuwa mtu anayeuza mtumba ya arabic dress belo kutoka Dubai, Oman or Morocco cream quality. Nashkuru
  13. Hamadee

    Naomba kuuliza kuhusu chimbo zuri la kununua mitumba balo za mitumba

    HABARI WANAJAMVI, Naomba kuuliza kuhusu chimbo zuri la kununua mitumba balo za mitumba za nguo mbalimbali hapa Tanzania na nje. Connection naomba na kwa ushauri pia nipo tayari kupokea kwasababu ndiyo nataka kuanza hii biashara
Back
Top Bottom