Zab 105:17-21 SUV
[17] Alimpeleka mtu mbele yao, Yusufu aliuzwa utumwani. [18] Walimwumiza miguu yake kwa pingu, Akatiwa katika minyororo ya chuma. [19] Hata wakati wa kuwadia neno lake, Ahadi ya BWANA ilimjaribu. [20] Mfalme alituma watu akamfungua, Mkuu wa watu akamwachia. [21] Akamweka kuwa...