nguvu kazi ya taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Peter Mwaihola

    Jenga nguvu ya kufanya maamuzi

    1. Fanya tathmnini ya kila uamuzi unaotaka kuufanya jua matokeo yake, faida na hasara pima uzito wa matokeo hayo kisha chagua njia sahihi ya kuamua kulingana na matokeo uliyoyapata. 2. Washirikishe watu ili kupata ushauri kisha pima ushauri wao ukilinganisha na tathmnini yako. Ila usipokee...
  2. Jack Daniel

    Heshima ya mwanamume na Dunia ya sasa, ewe kijana zingatia haya

    Dunia inaenda kasi sana ,yaani aliyezaliwa 2000 ni baba na wamama ni wengi zaidi,shida siyo umri,ila ni majukumu yanapokuja ikiwa huna kitu. Nakukumbusha majukumu na hatua za kuchukua kwa nguvu na kwa kulazimisha haswa kwa vijana ambao hawajaoa bado na wana maisha aidha mazuri au bado...
  3. Kamanda Asiyechoka

    Taifa lolote makini lazima liwe mikononi mwa vijana.Vijana makini watalinda mali za umma.

    Iwe kwenye tamaduni na mila zetu. Vijana ni nguzo muhimu sana. Vijana hutumika kuzalisha, na hata kuvuna na kulinda mazao. Soma Pia: Tundu Lissu, John Mnyika na Joseph Mbilinyi Wawasili Mbeya kwa ajili ya Kongamano la Bavicha, Wapuuza Amri ya Polisi Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa...
  4. F

    Serikali fungieni mchezo wa kubeti wa Aviator (kindege), unamaliza vijana

    Huu mchezo kwa Jina 'Aviator' maarufu kindege umekuwa shida kubwa sana kwa vijana hasa watafutaji. Ukiingia kucheza au kuchunguza upande wa charting utaona vijana wanavyoliwa na kulaani huu mchezo ambao umewarudisha nyuma sana kimaendeleo na hata nimesikia kuna jamaa amejiua kwa kuliwa kiasi cha...
Back
Top Bottom